Wednesday, July 6, 2011

WAZIRI MKUU WA TANZANIA MIZENGO PINDA ALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA 35 YA BIASHARA SABASABA

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akizungumza na mtoto anayesomeshwa na mfuko wa Pensheni wa PPF ambapo waziri mkuu aliyataka mashirika mengine kuiga mfano wa shirika hilo kwa kuangalia kuanzisha mfuko wa Pensheni ya masomo kwa yatima wanaofiwa na baba zao au wachangiaaji wanao fariki(Picha Na Tiganya wa Maelezo)

No comments:

Post a Comment