Tuesday, October 29, 2013

MAMA SALMA AFUNGUA MAONYESHO YA MOWE


 
MAMA SALMA
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete kivishwa mapambo ya kimasai na mjasiliamali wa kimasai ,Ester Labani Moreto kutoka kikundi cha USUPATI chalinze ,pindi alipokuwa akitembelea mabanda ya wafanyabishara hao wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya mwezi wa wajasiliamali wanawake (MOWE) yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam jana. Picha na Humphrey Shao.

 
STRABAG
Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi  wa barabara ya mabasi yaendayo kasi katika barabara ya morogoro STRABAG wakiweka vizuri  rami katika eneo la Jangwani mara baada ya gari hilo kumwaga rami hiyo kwa wingi. PIcha na Humphrey Shao.


TRAFIC
Askari wa usalama barabarani mkoa wa Dar es Salaam akimuandikia cheti cha kulipa faini Dereva wa pikipiki mara baada kukutw ana makosa. Picha na Humphrey Shao.

Sunday, October 20, 2013







UTAMU WA EBSSS LIVE

 majani na prof jay
 first godfrey



 washiriki wakijiandaa kutolewa
majai wa ebss


TWANGA PEPETA BALAA

waimbaji wa bendi ya muziki ya Twanga pepeta Kalala Junior na luiza Mbutu wakiwarusha mashabiki ndani ya ukumbi wa Dar live