Thursday, July 28, 2011

WANAFUNZI WAANDAMANA KUPINGA PILISI GARI LAO KUGONGA MMOJA WAO

 Polisi wakiwatuliza wanafunzi walio andamana
 Polisi wakiangaika kuwapakia wanafunzi waliofika katika kituo hicho kwa maandamano
 Wanafunzi wakiandamana kuelekea staki shairi
 Polisi wakizungumza na wanafunzi waliofika katika kituo cha polisi
 Askari wakiwakamata wanafunzi kwa kosa la kushinikiza maandamano na kuwapeleka kituoni
 Wanafunzi wakipakia wanafunzi wakapiwa kwenye Defender

No comments:

Post a Comment