Monday, August 8, 2011

WAREMBO 30 WA VODACOM WAANZA KAMBI LEO GIRAFE OCEAN VIEW

 Warembo wanao wania taji la vodacom miss Tanzania baadaya kuwasili kwenye kambi leo
 Mkurugenzi wa Rino Agency Pampja na Bw. George Ruhimbiza wakizungumza na warembo mara ya baada ya kuwasili kwenye kambi leo
Miss vodacom Genivive Mpangala akifurahi na warembo wenzie mara baada ya kuwasili kwenye nyumba hiyo ya VOdacoma house.

No comments:

Post a Comment