Monday, August 1, 2011

WANA WA BUSSINES TIMES WAKIBADILISHANA MAWAZO JUU YA HALI YA MCHEZO WA NGUMI HAPA NCHINI

KOCHA wa mchezo wa Ngumi kutoka klabu ya Ashant Rajabu Muhamila 'SUPER D' Akiwa na mwandishi wa Michezo wa Gazeti la Majira Adolf Bruno katika klabu ya ngumi ya Ashanti amabko alikwenda kutembelea mazoezi ya Timu hiyo.

No comments:

Post a Comment