Monday, August 8, 2011

Kondakta wa daladala 'Chai Maharage', akishusha mzigo wa samaki nje ya soko Kuu la mjini Zanzibar leo, pamoja na samaki kupatikana kwa wingi mjini hapa lakini bado bei ya samaki imekuwa juu tofauti za siku za nyuma.


No comments:

Post a Comment