Monday, August 8, 2011

PIX- Dkt Emmanuel- Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa na Kikundi cha Sanaa za maonyesho Tanzania (KISAMATA) cha jijini Dar es salaam jana wakati kikundi hicho kikielimisha wananchi wa Dodoma waliotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane mara baada ya Waziri huyo kutembelea banda la HAZINA mjini Dodoma.



No comments:

Post a Comment