Tuesday, April 3, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA

 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango nchini, Charles Ekerege akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya Shirika mpya hivi karibuni. Katikati ni Waziri wa Viwanda Biasha na Masoko, Cyril Chami


 Naibu Waziri wa Fedha Pereira Silima akisalimiana na mmoja wa Klabu ya wafanyabiashara ya mjini Zanzibar wakati wa uzinduzi wa NMB Klabu hivi karibuni.


 Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabian Masawe (kulia) akizungumza  na wageni waalikwa wakati wa hafla ya  uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hotel ya Coffee Tree Bukoba Mjini mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa

Mbunge wa Viti maalum, Dk Mary Mwanjelwa akipokea zawadi kutoka kwa wakurugenzi wa Kampuni, ORIFLAME wakati wa utambulisho wa bidhaa zinazotengenezwa na Kampuni

No comments:

Post a Comment