Friday, February 17, 2012

STEPS Kumtoa Maridadi kwa mara ya pili

Mainda apika “MKEMWEMA”
Msanii wa kike wa filamu mainda yupo jikoni akiandaa filamu mpya inayokwenda kwa jina la MKE MWEMA  ambayo inazungumzia maisha ya wokovu katika mazingira ya kijijini. 
Akizungumza na kona ya filamu hivi karibuni Mainda laisema kuwa filamu hiyo imechukua maudhui ya maisha ya hapahapa Tanzania, hii ni kujaribu kuonyesha utajiri  tulionao hapa Tanzania na kuutangaza nchi za nje kupitia filamu .

Mainada alisema kuw akatika filamu hiyo ameshirikia na na wasani maharufu wengi akiwemo Steve Nyerere ,Mzeejengua na wengine wengi amabao wanatamaba katika tasnai aya Bongo Movie.

“kuna filamu nyingi sana ziemtoka lakini hii ya Mke mwema itakuw atofauti na nyingine kwani inaigizwa katika mazingira halisi ya kitanzania na lengo lekae ni kuelimisha na kuinesha jamii kuwa Tanzania imebarikiwa vitu vungi vya asili ambavyo vinafaa kwa utalii wa nadani na nje ”aliesma Mainda .

Alisema kuwa ni vema wadau wakatambua kuna haja ya kufanya vitu kwa jaili ya maslahi ya taifa hivyo mke mwema ni zwadi kwa Taifa.

Alisema kuwa huu ni mwanzo tu kwa mainda bado atakuja na vitu vingi ambavyo watu awajavitegemea .

ENDSS
MYAMBA afungua studio yake ya filamu

MSANII mahiri wa maigizo Emmanuel Myamba amefungua studi yake ya masuala ya filamu inayotambulika kwa jina la Born again Studio .

Myamba ambaye hivi karibuni alifanya sherehe fupi ya ufunguzi wa studio kwa kumualika msanii mahiri katika tasnaia ya filamu Steven Kanumba .

Katika ufunguzi huo myamba aliweka wazi kuwa studio hiyo itakuw ana lengo la kuwakomboa wasanii wa hali ya chini amabao awakuweza kupata nafasi katika vikundi mabalimbali hivyo kupatiwa mafunzo na kujikwamua kisanaa.

Kwa upande wake Kanumba alieleza kuwa ni mwanzo mzuri wa sanaa yake mymaba kwani anaweza kushuti filamu na kusambaza mweneyewe kwani studio hiyo inauwezo hadi wa kufyatua DVD original na sio feki kama zilivyo studio zingine mchwara .

Aliongeza kuwa myamba sasa ni mfano wa kuigwa hivyo wasanii wanapaswa kuiga vitu vingi kutoka kwake hili waweze kupiga hatua katika Maendeleo yao .

Endsss

Msanii wa kike macahachari katika tasnia ya filamu lulu anataraji kungaa katika filamu mpya inayokwenda kwa jina la Smart wife inayoa andaliwa na Kampuni ya Rj company .

Akizungumza na Kona ya filamu Moja wa watayarishaji wa filamu hiyo ambaye  akutaka jina lake litajwe alimtaja mwanadada huyo kuwa moja ya washiriki katika picha hiyo.

Alisema kuwa katika filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii wengi akiwemo Vicent Kigosi ,Uncle Jimy na mzee Masindi .

Alieleza kuwaSmart Wife ni movie mpya ambayo inataraji kuwa sokoni hivi karibuni hivyo watu wakae mkao wa kula na wategeme vitu vikubwa .
steps
.
KAMPUNI ya usambazi ya filamu hapa nchini inayotambulika kwa jina la Steps Entertiment inataraji kusambaza filamu ya Maridadi  iliyotungwa miaka ya tisini juu ya maisha ya wahindi hapa nchini  na kuigizwa na msanii wa jamii ya kiindi Yunus Varda (Simple Maridadi).
Akizungumza na kona ya filamu hivi karaibuni Simple Maridadi alieleza kuwa hiini filamu iliyotengenezwa nakundi la  watu wa chache  hata kufanikiwa kueleza hisia za jamii ya watu wa kiindi ambao ni watanzania .

“Maridadi kwa watu wanaopenda amani ni kioo makhususi kilicholetwa wakati huu amabapo jamii ya kihindi inaishi Tanzania iko katika njia panda ya kuelewa hatima yake mara baada ya uchaguzi mkuu wa wabunge octoba 1995 “ anaeleza Maridadi .


No comments:

Post a Comment