Jirusheweekend

Mafanikio yanahitaji uvumilivu Mdau wa jirushe ni mwandishi wa habari kutoka New Habari Anapatikana kwa namba 0716 772231 ,Email -humphreyshao@ymail.com/shaohumphrey58@gmail.com kwa mahitaji yoyote ya kuhabarisha ,makala,matukio, picha za harusi na kuandaa event mbalimbali nitwangie

Sunday, January 22, 2012

Katika vita vya kupambana na umasikini Nchini Mbunge wa Temeke Abbasi Mtemvu amekabidhi kiasi cha shilingi millioni 14 kwa vikundi saba vya wajailiamali waliojiunga katika mpango wa VICOBA unaoratibiw ana PFT . Akizungumza wakati wa kukabizi hundi hzo mbunge wa Mtemvu alisema kuwa fedha hizo zitawawezesha wana kikundi hao kujikopesha wenyewe kwa wenyewe hili waweze kujikwamua na umaskini na kuzijengea uwezo jamii iliyokata tama. “ni vema kila mtu akajiunga na vikundi vya vicoba hili aweze kupata fursa mbalimbalizinazotolewa na tasisi mbalimbali na serikali kwani ni vigumu kumsaidia mtu mmoja mmoja lakini kwenye vikundi ni raisi ” Alisema Mtemvu . Katika hafla hiyo iliyo hudhuriwa na Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Dar es salaam Mariamu kisangi alisema kuwa ni wakati wa wanawake kuamka na kuchangia fursa zilizopo na kujikwamua kiuchumi . Alisema kuwa mwanamke wa sasa na mjanja ni yule anayejishughulisha na shughuli za Maendeleo na hakuna Maendeleo bila ya kujiwekea akiba hivyo ni vema kila mwanamke akajihakikishia akiba hili aweze kuendesha familia . Pia alitoa wito kwa kina baba kuacha kwasumbua wake zao pindi wanapo jiunga na vicoba hivyo kwa kufanya hivyo watakuwa wanarudisha Maendeleo ya mwanamke nyuma kila siku .


Posted by tz360news at 6:29 AM 1 comment:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)


wanaotembelea

Followers

Blog Archive

  • ►  2014 (11)
    • ►  January (11)
  • ►  2013 (30)
    • ►  December (4)
    • ►  November (9)
    • ►  October (6)
    • ►  April (7)
    • ►  February (4)
  • ▼  2012 (33)
    • ►  May (11)
    • ►  April (15)
    • ►  March (1)
    • ►  February (5)
    • ▼  January (1)
      • Katika vita vya kupambana na umasikini Nchini Mbun...
  • ►  2011 (101)
    • ►  December (5)
    • ►  November (14)
    • ►  October (2)
    • ►  September (8)
    • ►  August (32)
    • ►  July (40)
  • Burudan Mwanzo - Mwisho
    BONDIA MAKUBI ATAMBA KUMPIGA ABDALLAH MA MOROGORO OKTOBA 4 KATIKA UKUMBI WA 361 MWENGE
    5 years ago
  • GODFREY NNKO
  • MACHELLAH 0713 470 492 machellahm@yahoo.com
  • SUFIANIMAFOTO
    TUWAPE FARAJA FAMILIA ZENYE WATOTO WENYE USONJI, TUSIWATENGE -JACKLINE MJEMA
    1 month ago
  • SuperD Boxing Coach
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
    5 years ago
  • Viwanjani (nini kimejiri leo Maximo?)
    SUPER D AMUANDAA SUNDAY KIWALE KWA USHINDI WA K,O JANUARY 31 TANGA ATAKAPOZIPIGA NA YOHANA MCHANJA
    5 years ago

TANGAZO


DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI

KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA http://enzoy.org/index.php?lang=EN

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU

TANGAZO LA DAWA YENYE NGUVU
Copyright not due to facts that all rigtht reserved from 2011. Simple theme. Powered by Blogger.