| Duly Sykes AKIPAGAWISHA MASHABIKI WALIOFIKA KWENYE SHOO |
| WADAU KADHAA WALIOFIKA SIKU YA SHOO WAKIJIACHIA KWENYE DANCING FLOO |
| MREMBO NDENENSIAH MBOWE ALIYECHUKUA NAFASI YA TATU AKIVISHWA TAJI NA ALIYEKUWA MISS USTAWI NAMBA TATU MWAKA JANA |
| MWENDOWA PHOTO SHOOT WAREMBO WATATU WAKATIKAKTI HILDA,NANCY NA NDENENSIAH |
| NANCY AKIPOKEA CHEKI YAKE YA SHILINGI LAKI TATU KAMA MSHINDI WA PILI |
| BURUDANI TU NA MASMILE |
| NDENENSIAH MBOWE AKIPOKEA HUNDI YAKE YA SHILINGI LAKI MBILI KAMA MSHINDI WA PILI |
| MKURUGENZI WA JIRUSHEWEEKEND HUMPHREY SHAO KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MREMBO NDENENSIAH MBOWE AMBAYE NI MKURUGENZI MSAIDIZI WA JIRUSHEWEEKEND |
No comments:
Post a Comment