Mafanikio yanahitaji uvumilivu
Mdau wa jirushe ni mwandishi wa habari kutoka New Habari Anapatikana kwa namba 0716 772231 ,Email -humphreyshao@ymail.com/shaohumphrey58@gmail.com kwa mahitaji yoyote ya kuhabarisha ,makala,matukio, picha za harusi na kuandaa event mbalimbali nitwangie
Thursday, July 28, 2011
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mstaafu, Fredrick Sumaye, nje ya ukumbi wa Nkurumah baada ya kuaga mwili ya marehemu Profesa Samuel Mushi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Katikati ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.
No comments:
Post a Comment