Mafanikio yanahitaji uvumilivu Mdau wa jirushe ni mwandishi wa habari kutoka New Habari Anapatikana kwa namba 0716 772231 ,Email -humphreyshao@ymail.com/shaohumphrey58@gmail.com kwa mahitaji yoyote ya kuhabarisha ,makala,matukio, picha za harusi na kuandaa event mbalimbali nitwangie
Monday, August 8, 2011
PIX- Dkt Emmanuel- Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa na Kikundi cha Sanaa za maonyesho Tanzania (KISAMATA) cha jijini Dar es salaam jana wakati kikundi hicho kikielimisha wananchi wa Dodoma waliotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane mara baada ya Waziri huyo kutembelea banda la HAZINA mjini Dodoma.
Sunday, August 7, 2011
Ally Remtulaha akiwa katika vazi la mwezi mtukufu
Majuto Omari mwandishi mkongwe na mwenyekiti wa maisha wa Taswa Fckijipendelea kwenye bufee
Rahma na james msosi kama kawa
Majuto Omari mwandishi mkongwe na mwenyekiti wa maisha wa Taswa Fckijipendelea kwenye bufee
Rahma na james msosi kama kawa
Jamila Nyangasa akifanya vitu vyake aktika vazi la jioni lililobuniwa na Asia Idaroos
Mambo ya ngoma haya kukosekana siku hiyo
Mambo ya ngoma haya kukosekana siku hiyo
MAMBO YALIVYOKUWA USIKU WA KUCHANGIA VIFAA VYA MACHO MOVENPICK
Mama Rahma Kharoos akiwa na Bw. James shimwenye wakibadilishana mawazo mra baada ya kusikiliza speech ya mkurugenzi wa Allure
Monday, August 1, 2011
WANA WA BUSSINES TIMES WAKIBADILISHANA MAWAZO JUU YA HALI YA MCHEZO WA NGUMI HAPA NCHINI
KOCHA wa mchezo wa Ngumi kutoka klabu ya Ashant Rajabu Muhamila 'SUPER D' Akiwa na mwandishi wa Michezo wa Gazeti la Majira Adolf Bruno katika klabu ya ngumi ya Ashanti amabko alikwenda kutembelea mazoezi ya Timu hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)











